VideoMPYA: Hutakiwi kuikosa hii ya Fid Q ft Christian Bella inaitwa ‘Roho’


Good music imesogezwa kwako tena na time hii ni mchanganyiko wa radha mbili kutokea soko la muziki  Tanzania ambapo mkali wa miondoko ya Hip Hop Farid Kubanda maarufu kama Fid Q anakualika kitazama video yake ya ‘Roho’ ambayo amemshirikisha mkali Christian Bella .
Mdundo ndio huu hapa chini ukimaliza kuutazama unaweza kudondosha comment yako hapo chini kisha baadae Fid Q na Christian Bella watapita kuzisoma.



Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment