Zaidi ya abiria 275 waliokuwa wakisafiri na shirika la ndege la Emirates wamenusurika kifo baada ya ndege hiyo kuanguka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai wakati ikitua.
Ndege hiyo Boeing 777 ilikuwa ikitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Trivandrum nchini India.
Taarifa za awali zinasema kuwa gia kwa ajili ya ndege kutua ilipata hitilafu.
Kufuatia ajali hiyo, uwanja huo kwasasa umefungwa hakuna ndege inayoruhusiwa kutua wala kupaa.

0 comments:
Post a Comment