Watu wanne wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia milipuko ya mfululizo iliyoratibiwa iliyolenga maeneo ya utalii nchini Thailand.
Watalii walilazimika kuwakimbia washambuliaji baada ya milipuko miwili kutokea katika eneo la hoteli ya Hua Hin jana usiku na kuuwa mwanamke mmoja raia wa Thailand na kujeruhi wengine 21.
Wanajeshi wakimpatia msaada mtalii aliyejeruhiwa katika milipuko hiyo
Watalii waliojawa na hofu wakiwa na mwanajeshi aliyekuwa akiwapa maelezo na kuwatuliza
0 comments:
Post a Comment