MCHEKESHAJI KEVIN HART AFUNGA NDOA NA MODO ENIKO PARRISH


Muigizaji filamu maarufu na mchekeshaji Kevin Hart amefunga ndoa hii leo na mchumba wake mwanamitindo Eniko Parrish baada ya miaka miwili ya uchumba.

Ndoa hiyo imefungwa umbali wa karibu maili 100 kutoka Los Angeles katika eneo la jamii ya Montecito Jijini California.
Rafiki wa Kevin Hart, Ludacris akiwa na mkewe Eudoxie Mbouguiengue walikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment