Watu wamechukizwa nchini India na taarifa za madai ya mwanafunzi kubakwa na kundi la wanaume watano, ambao pia walimbaka miaka mitatu iliyopita.
Polisi bado hawajamkamata mtu yeyote ingawa mwanafunzi huyo wa kike mwenye miaka 21 alibakwa wiki iliyopita katika mji wa Rohtak katika jimbo la kaskazini la Haryana.
Mwanafunzi huyo wa kike alikuwa anafuatilia kesi iliyopo mahakamani dhidi ya wanaume hao watano, wakati aliposhambuliwa na kubakwa siku ya jumatano.
0 comments:
Post a Comment