VIDEO: Kwenye zilizotisha na hii ya mazoezi ya kijeshi Saudi Arabia imo


Kuna zile video au picha tu huwa unaweza kuchelewa kuziona lakini zilitembea sana au zinatembea bado na kuendelea kufikia watu wengi kupitia mitandao ya kijamii ambayo imerahisisha sana mambo siku hizi.
Mpaka sasa video hii kwenye Facebook imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni moja laki saba na inaendelea kusambaa tu, ni video tu imesambaa kwenye mitandao wanasema ni jeshi la Saudi Arabia ndio lilikua linafanya mazoezi.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment