Mnamo mwezi Juni mwaka huu iliripotiwa kuwa nchini Algeria mitandao ya kijamii ililazimika kuzimwa kwa siku kadhaa hususani Facebook naInstagram ili kuzuia udanganyifu katika mtihani wa kitaifa wa shule za upili jambo lililopolelekea wananchi wengi kufurika katika ofisi za mitandao hiyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment