VIDEO: Bilionea mtanzania katoa sababu za kwanini hajanunua ndege binafsi


Kama ni msomaji na mtumiaji mzuri wa mitandao hususani ya kijamii, basi utakuwa ushawahi kukutana na headlines za mtanzania katika jarida la Forbes, mtanzaniaMohammed Dewji ambaye amewahi kutajwa na Forbes kama bilionea wa 24 barani Afrika, amefunguka na kueleza sababu za yeye kutonunua ndege binafsi licha ya kuwa bilionea.

“Nimefanya Interview na Forbes wakaniuliza kwa nini sijanunua ndege binafsi, wakati bilioni 10 au 20 unapata ndege, mimi nimepiga mahesabu nikikata tiketi ya daraja la kwanza kwenda Afrika Kusini kwenda na kurudi natumia milioni 4, ila kwa ndege binafsi ikiruka angani saa moja gharama yake milioni 8”


Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment