Video 6 za bongo zilizopata airtime Trace TV na MTV Base


Nifahari kubwa kuona ngoma za nyumbani zinapata airtime katika vituo vikubwa vya TV kama Trace TV na Mtv Base leo July 29 2016 zimetajwa ngoma 6 za  kitanzania ambazo ni  ‘Nirogewa Vanessa mdee, Zigo Remix ya AYft Diamond PlatnumzPlease don’t go away’ ya Mayunga ft AkonIbaki story’ ya Rich Mavoko, ‘Aje‘ ya Alikiba, ‘Kidogo’ yaDiamond Platnumz ft Psquare.
Nakusogezea listi hii mtu wangu na usisahau kuniachia comment yako hapa chini.

20160728_225801
20160728_230719
20160729_142009
20160729_164533
20160729_172935_001
20160729_174005

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment