MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI, HAFSA MOSSI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MJINI BUJUMBURA

Mbunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ( EALA ) kutoka nchini Burundi, Hafsa Mossi ( PICHANI ) ameuawa mjini Bujumbura baada ya kupigwa risasi. 

Hafsa aliyepata kuwa Waziri wa Habari nchini humo na mwandishi mahiri wa habari wa Shirika la Utangazaji la Uingereza ( BBC ) alipigwa risasi na watu wasiojulikana ambao baada ya kutimiza unyama huo walitoweka kusikojulikana.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment