Timu ya Barcelona imekubali kutoa kitita cha paundi milioni 41.7 kwa klabu ya Valencia ili kumtwaa kiungo Mreno, Andre Gomes.
Gomes, 22, alikuwa akiwaniwa pia na Juventus kama mbadala wa Paul Pogba anayetaka kutimkia kwenye klabu ya Manchester United.
Juventus ya Italia ilikuwa inamuwania Gomes hadi jana, lakini hawakufanikiwa kumnasa baada ya kuzidiwa kete na Barcelona.
0 comments:
Post a Comment