Treni mbili za kifahari kutengenezwa na kuanza kutumika May 2017 Japan


June 17 2016 nimekutana na hii stori kuhusu kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari na siku zitakazoanza kutumika chombo cha habari cha ‘CNN’  wametoa taarifa na headlines zikionyesha kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari nchini Japan na kuanza kutumika May 2017 na hizi ndio zitakuwa  Treni za  kifahari zaidi duniani.
Treni hii ya Twilight Express Mizukaze ya JR Magharibi na treni ya Suite Shiki-Shimaya JR Mashariki zitakazo anza kufanya kazi rasmi May 2017, Treni hizi yenye uwezo wa kubeba abiria 30 na kua na wasimamizi 1o.
Treni hizo zitakuwa na madirisha ya vioo zitakavyoweza kuwaonyesha abiria nje  na kupata nafasi ya kuona maeneo yote kama Osaka na Shimonoseki,Miyajima, bahari ya Japan, Mlima Daisen na Seto na visiwa vya bahari ya Inland ambavyo vitaweza kuwapa fursa ya  kuweza kupiga picha.

Mizukaze
Muonekano wa nje wa treni ya Mizukaze
Shiki-Shima-train-cropped
Muonekano wa nje wa treni ya Shiki shima
Mizukaze double room
Sehemu ya kulala ya treni ya Mizukaze
Mizukaze-dining-1
Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Mizukaze
Shiki-Shima-Dining-Car
Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Shiki Shima
Mizukaze-sightseeing-carriage-low
Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Mizukaze
Mizukaze-overview-1
Muonekano wa ndani ya chumba cha kulalia cha treni ya Mizukaze.
Shiki-Shima-Suite
Muonekano wa ndani wa chumba cha kulalia cha treni ya Shiki Shima.
Shiki-Shima-Observation-Car
Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Shiki Shima.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment