Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni mbunge wa Kwela Ignasi Malochaalimuuliza Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo kama kuna ukweli wowote kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kugundulika kwa gesi mpya aina ya helium nchini.
Waziri Muhongo amesema…>>’Ukweli ni kwamba utafiti umefanywa na vyuo vinavyotambulika duniani, kilichogundulika ni katika ziwa Rukwa na baada ya ni metrick bilion 44.2 na hizo ni taarifa za uhakika‘
0 comments:
Post a Comment