Shirika la ndege la Uholanzi KLM limeingia kwenye tuhuma za ubaguzi wa rangi baada ya mmoja wa wasafiri wa ndege hiyo ambaye ni Mtanzania, Patrick Ngowi kupitia ukurasa wake wa Twitter kutoa malalamiko yake akieleza kauli iliyotolewa na mfanyakazi wa Ndege hiyo ambayo inaashiria ubaguzi wa rangi
Extremely disappointed by the RACIST comments from the @KLMstaff as I flew from Paris to Dar! @JaapFrederiks
0 comments:
Post a Comment