PICHA 6: Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu


Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na amesema ameichoka.
Ndege hii yenye vifaa vilivyotengenezwa kwa Dhahabu sehemu ya ndani yenye uwezo wa kubeba abiria 12 na ina vifaa vya dhahabu sehemu tofautitofauti kama sehemu  za kuwekekea glasi, sinki la kunawia mikono lililopo kwenye jiko la ndege hiyo na mapambo mengine ya dhahabu ambayo yamepamba ndani ya ndege hiyo.
Billionea huyo hakuwa tayari kutaja bei kamili ya ndege hiyo aliyoinunua lakini alisikika akisema haya….>>>> ni kitu kizuri kuwa na pesa

flo
floyd
floydz
fo
fooool
fff
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment