Kama wewe ni mmoja kati ya wapenda soka ambao walikuwa wanasubiria kwa hamu kipindi cha pili cha mchezo wa nusu fainali ya pili ya Copa America 2016, ambayo ilikuwa inazihusisha timu za Colombia na Chile bado imesimama baada ya kipindi cha kwanza kumalizika.
Mchezo huo umelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja kutokana na hali ya hewa kubadilika kuwa na mvua na radi kabla ya kipindi cha kuanza, lakini Chile walikwenda mapumzilko wakiwa mbele kwa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Charles Aranguizdakika ya 7 na Jose Fuenzalida dakika ya 11.
0 comments:
Post a Comment