Mwingine ashtakiwa kwa kumtukana Rais Magufuli WhatsApp


Baada ya headline za aliyemtukana Magufuli facebook, Isaac Abakuk kuamriwa kutoa faini ya milioni 7 na Mahakama Kuu kanda ya Arusha na wadau mbalimbali wakamchangia milioni 4.5.
Sasa mtanzania mwingine wa pili kushtakiwa ni Leonard Mulokozi Kyaruzi ambaye anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp,  Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria uhalifu wa mtandaoni.

image-21-06-16-19-50
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment