MWANAMKE MWENYE NDEVU AAMUA KUZIACHIA NA KUWA NA MZUZU MKUBWA


Mwanamke mwenye ndevu ameamua kuachana na kuzinyoa ndevu zake na kuachia mzuzu uliojaa, na kudai hakuwahi kujisikia mwanamke mwenye mvuto kwa kipindi chote.

Mwanamke huyo Rose Geil, 39, mkazi wa Oregon alibaini kuwa na nywele nyingi mwilini akiwa na umri wa miaka 13, na kuzinyoa mara moja.

Baada ya hapo alikuja kubaini kuwa atalazimika kunyoa ndevu hizo katika maisha yake yote ambapo alifanya hivyo kwa miaka 20.
                               Bi. Rose Geil anavyoonekana akiwa ameonyoa ndevu zake 
                                                        Bi. Rose Geil akiwa ameziachia ndevu zake
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment