MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA NDEGE YA VIRGIN AKUTWA AKIWA AMEUCHAPA USINGIZI AKIWA KAZINI



Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Virgin amejikuta akipigwa na butwaa baada ya kukutwa akiwa ameuchapa usingizi na Mmiliki wa Kampuni hiyo Richard Branson.

Mfanyakazi huyo aliyekuwa katika timu ya wafanyakazi wa dharura, alikutwa akiwa amejikunja kwenye kochi akiuchapa usingizi kwenye ofisi ya Virgin, Australia Jijini Sydney.

Mmiliki wa Virgin kabla ya kumuamsha aliamua kupiga naye picha na kisha kumstua mfanyakazi huyo ambaye hakuamini macho yake na kuzania kuwa anaota.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment