KUMI WAUWAWA KWA MASHAMBULIZI YALIYOFANYWA NA AL-SHABAAB

Watu wapatao 10 wakiwemo wabunge wawili wameuwawa katika mlipuko uliotegwa kwenye gari pamoja na mashambulizi ya silaha jana katika hoteli moja kuu katika Jiji la Mogadishu nchini Somalia.

Watu wengine 40 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo kwenye hoteli ya kati kati ya Mji ya Ambassador, ambapo vikosi vya usalama vililazimika kupambana na wapiganaji wa kundi la al-Shabaab kwa muda wa saa tano jana usiku.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment