Kauli ya Jenerali Ulimwengu Yakutaka Jakaya Ashtakiwe yageuka Mjadala Nchini


 Ile kauli iliyotolewa juzi na mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu kutaka Rais mstaafu Jakaya Kikwete ashtakiwe mahakamani inatesa mitaani.

Tayari baadhi ya wasomi wametia neno wakisema ipo haja ya kubadili Katiba ili mkuu wa nchi aweze kushtakiwa baada ya kuondoka madarakani.

Wakati wasomi hao wakitoa pia mifano ya wakuu wa ‘kaya’ katika baadhi ya nchi walioshtakiwa walipoondoka na walipokuwa madarakani…
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment