Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Jay Moe amesema hataki kuwachosha tena mashabiki wake kwa ukimya mrefu.
“Jay Moe amerudi rasmi kwenye game, kazi kazi, tayari na kolabo na msanii wa Afrika Kusini,” alisema Moe. Wakati nipo Afrika Kusini nikishoot video, nilipata nafasi ya kufanya kazi na msanii wa kule, kwa hiyo sipendi kuizungumzia sana lakini ndiyo kazi ambayo inakuja,”
Jay Moe amesema kazi yake mpya, ‘Pesa Ya Madafu’ inafanya vizuri ambapo amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kusupport kazi zake.
0 comments:
Post a Comment