ANGEL DI MARIA ASHANGILIA GOLI KWA KUOMBOLEZA KIFO CHA BIBI YAKE

Mchezaji wa Argentina Angel di Maria amesherehekea goli alilofunga katika ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Chile, kwa kuomboleza kifo cha Bibi yake aliyefariki dunia kabla ya kuanza michuano ya Copa America.

Katika mchezo huyo ambao Argentina walifanikiwa kulipa kisasi cha kufungwa na Chile, Angel di Maria na Ever Banega waliweza kuitakatisha timu yao ya taifa kwa kufumania nyavu huku Lionel Messi akiwa benchi kutokana na maumivu ya mgongo.
               Angel di Maria akicheza muziki na marehemu Bibi yake wakati wa uhai wake
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment