Nimekutana nazo hizi sherehe 10 ambazo zimewahi kuwa na bajeti kubwa zaidi moja katika hizo ipo harusi ya staa wa Machester United Wyne Rooney ambayo imeshika nafasi ya 7 ikiwa na bajeti ya Dola MILIONI 7.
#10 Harusi ya Liza Minnelli ~ Bajeti ya dola MILIONI 3.5
#9 Harusi ya Binti wa Bill Clinton ~ Bajeti ya dola MILIONI 5
#8 Sherehe ya kuzaliwa ya David Bonderman ~ bajeti ya Dola MILIONI 7
#7 Harusi ya Wayne Rooney ~ Bajeti ya Dola BILIONI 7
Unaweza kuangalia video hii hapa chini.
0 comments:
Post a Comment