VIDEO: TOP 10 ya penati bora kuwahi kupigwa katika soka

Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka duniani, mpira wa penati kabla ya kupigwa, mpigaji huwa anatajwa kupewa asilimia 75 za mpira atakaoupiga golini utaingia wavuni, lakini kuna uwezekano wa asilimia 25 za kukosa, licha ya watu kupewa asilimia 75 ya uwezekano wa kufunga, wapo ambao huwa wanakosa, ila leo May 4 mtu wangu nataka nikuletee TOP 10 penati bora duniani.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment