VIDEO: Siku moja baada ya kumpoteza Patrick Ekeng uwanjani, haya ni matukio 9 ya kusikitisha katika soka


Bado dunia ya soka inakumbuka na kuomboleza kifo cha staa wa soka wa Cameroonaliyekuwa anakipiga katika klabu ya Dinamo ya Romania Patrick Ekeng ambaye alianguka uwanjani May 6 2016 na kupoteza maisha dakika ya 70. Haya ni baadhi ya matukio 9 ya kusikitisha katika soka.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment