RAIS MSTAAFU DK. KIKWETE AIWASILISHA TANZANIA MAZISHI YA MAMA LUCY KIBAKI


Rais mstaafu wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimpa mkono wa pole rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki aliyefiwa na mkewe Mama Lucy Kibaki.
Rais mstaafu wa Tanzania Dk. Kikwete akiteta jambo na rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wakati wa mazishi ya Mama Lucy, kulia ni Mke wa rais Uhuru, Margaret Kenyatta.
Rais mstaafu wa Tanzania Dk. Kikwete akimuangalia Mwai Kibaki akisalimiana na Naibu rais wa Kenya William Ruto.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment