Chui akionekana kukidhibiti kitoweo chake
Chui akikiangalia kitoweo chake baada ya kumuangusha chini swala huyu huku akionekana ana uhakika kwamba kamaliza kazi.
Ghafla swala akakurupuka na kuanza kukimbia huku akirusha miguu kwa nyuma.
Kama masihara Swala huyu alifanikiwa kutoka mikononi mwa Chui huyu na kukimbia.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment