MELI KUBWA YA MATANUZI KULIKO ZOTE DUNIANI YATIA NANGA UINGEREZA


Meli kubwa kuliko hata ilivyokuwa meli ya Titanic, iitwayo Harmony Of The Seas imetia nanga Uingereza.

Meli hiyo refu kuliko meli zote inauzito wa tani 227,000 ni mpya na imegharimu karibu paundi milioni 800 kuitengeneza.

Ikiwa na wahudumu 3,000, ambao malipo yao yanaanzia paundi 900 kwa mtu kila wiki, Meli hiyo ina vyumba vya anasa vya kulipia hadi paundi 2,760, huku vingine vikiwa na vitanda vya watoto kwa familia.
                         Meli Harmony Of The Seas inavyoonekana kwa juu kwa ndani
    Ukumbi wa burudani unavyoonekana ndani ya meli hiyo, ukumbi huo unaviti 1,300

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

1 comments: