Je, Wachina walitangulia kugema pombe?


Na wanahistoria kaskazini mwa China, wamefukua na kutambua kile wanachoamini kuwa ni vigae vya nyungu vinavyoonyesha kuwa pombe ilianza kugemwa katika eneo hilo, yapata miaka 5000 iliyopita.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment