HIVI umewahi kufikiria NI MANGAPI MAMA YAKO MZAZI amekufanyia TOKA UKO tumboni MWAKE MIEZI TISA?


pengine AMEKUSOMESHA kwa SHIDA SANA kwenye MIGOGORO hajawahi kukuacha ALIKUPEBA huku anakimbia ILI AKUNUSULU uwe HAI
INANIUMA SANA ninapo ONA BAADHI YA WATU wakifanikiwa WANAWASAHAU wazazi WAO wanasahau yote WALIYO WAFANYIA.

WENGINE Pesa na Mali zao wanazitumia KWA AJILI YA STAREHE TU
INANIUMA SANA unapo msahau MZAZI wako.
NAKUOMBA RAFIKI YANGU wakumbuke WAZAZI WAKO kila KUKICHA maana KUNA WENGINE wanawatamani WAZAZI lakini WAMETANGULIA MBELE ZA HAKI
NAWAPENDA SANA WAZAZI japo MMOJA ALITANGULIA MBELE ZA HAKI....MUNGU AMLAZE BABA YANGU MZAZI EPHRAIM MWAKIPESILE MAHALI PEMA PEPONI nakukumbuka kila KUKICHA BABA YANGU
Ameen
Nakutakia tafakari njema.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment