Juzi Tarehe 8 April 2016 tulikuwa tunakumbuka Miaka Minne tangua afariki Aliyekuwa Nguli wa Uigizaji Nchini Tanzania Steven Charlz Kanumba.
Siku hiyo nilifanikiwa Kuongea na Mwigizaji Rose Ndauka ambaye ameongelea Mengi aliyoyamiss kwa Kanumba haswa ukizingatia ni Mtu ambaye alishawahi kufanya naye kazi enzi za Uhai wake.
Kwenye Kauli yake Rose nilivyomuuliza nini alichokimiss zaidi kwa Kanumba Haya hapa Ndiyo aliyoyazungumza:-“Yaani na miss kila kitu kutoka kwa Kanumba tukiwa kazini tukiwa tunaishi maisha ya kawaida nimemiss kila kitu kutoka kwake. Vitu ambavyo nakumbuka kutoka kwake ni vingi lakini ukarimu wake na anavoweza ku communicate na wenzake wakiawa kazini na kama una kitu chochote unachoweza kuongeza kwenye kazi basi atakuacha uwe huru ufanye kitu kizuri katika icho ambacho anataka kufanya, kwaiyo nakumbuka sana ni mtu ambayo anampa mtu nafasi Aangalie ni kitu gani anachotaka kufanya.”

0 comments:
Post a Comment