NAKUONA WAZIWAZI

shetani anapojalibu kuleta majaribu mungu baba huleta jeshi la kumpiga mwovu shetani namleta kwenu mteule wa bwana MARO MNYERA anaye kuja kwa kasi ya ajabu na wimbo usemao NAKUONA WAZIWAZI tumpokee mteule wa bwana kwa kazi aliyo tuletea.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment