Instagram: Maneno 42 aliyoyaandika Lulu kwenye hii picha yake April 24 2016…


Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, April 24 2016 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram ni baada ya kupost picha inayoonesha  pete kwenye mkono wake wa kushoto na kuyaandika yafuatayo.

LONNNN
Haya ndio maandishi yaliyokuwa yakisomeka kwenye picha aliyoipost Lulu ‘MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha 🙏🙏🙏 Maana Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete Nzuri Kama hii Ni Kwa Neema tu Haya Acheni Umbea,hyo michezo yenu ya kuitana cjui kutagiana mtavunja Vidole😂….Kwa akili Yako nikinunuliwa/kuvalishwa ntakutangazia ?😂😂😂🏃🏃🏃Jumapili Njema😂‘>>>Lulu

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment