MWANDISHI ALIYEWASAIDIA AL-SHABAAB KUWAUWA WENZAKE NAYE AUWAWA


Mwandishi nchini Somalia aliyewasaidia al-Shabaab kuwauwa waandishi wenzake watano ameuwawa kwa adhabu ya kupigwa risasi.

Mwandishi huyo Hassan Hanafi, ambaye aliwahi kuwa mtangazaji anayeheshimika, alihukumiwa kifo mwezi uliopita na mahakama ya kijeshi Jijini Mogadishu.

Hanafi aliwasaidia wapiganaji wa al-Shabaab kuwatambua waandishi waliokuwa wanahitaji kuwauwa kati ya mwaka 2007 na 2011.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment