MKONGO CEDRIC BAKAMBU AIPATIA USHINDI VILLARREAL

Mchezaji aliyekwenye ubora wake Cedric Bakambu amecheka na nyavu mara mbili wakati Villarreal ikiifunga Sparta Prague magoli 2-1 katika mchezo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Uropa.

Mshambuliaji huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, alipachika goli la kwanza katika dakika ya tatu tu ya mchezo huo lakini likasawazishwa na Jakub Brabec kabla ya kuongeza la pili katika dakika ya 63.
   Mkongo Cedric Bakambu akiwa kazini akichuana na kipa wa Sparta kuwania mpira
You might also like:
Linkwi
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment