Baada ya Rais Uhuru Kenyatta
kuanza kulihutubia bunge baadhi ya Wabunge walianza kupiga filimbi na
zikasababisha kelele nyingi mpaka Spika kulazimika kumuomba Rais
asiendelee mpaka awatoe kwanza Wabunge hao saba akiwemo mbunge wa
Ungunja Opiyo Wanday.
Picha zote kutoka CITIZEN TV Kenya.
0 comments:
Post a Comment