Kwa wali waliowahi kuhisi kuwa Prezzo wa
Kenya anaugua na gonjwa hatari kwa sasa duniani la HIV basi staa huyu
amewatoa mashaka baad aya majibu ya kipimo cha H.I.V kuonyesha yuko
Negative.
Prezzo aka Jackson Makini Ngechu aka CMB
Prezzo, ameweka majibu yake mtandaoni kama ushahidi kwa wale waliosema
kukonda kwake kumesababishwa na gonjwa hilo.
0 comments:
Post a Comment