MASHABIKI MAN U, LIVERPOOL WATWANGANA JUKWAANI


 Mashabiki wa Manchester United (kushoto) wakichapana makonde baada ya kutibuana wakati wa mchezo baina ya timu zao hatua ya 16 Bora Europa League Uwanja wa Old Trafford
 Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Liverpool kufuzu Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 Uwanja wa Anfield
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment