Wakenya wachache wamesafiri kwenda Afrika Kusini weekend hii kwaajili ya show ya rapa Nicki Minaj ya ziara yake ya PinkPrint mjini Johannesburg.
Jaguar amekuwa miongoni mwa watu waliokwenda South Africa kwenye show hio na kufanya video pia. Repota wa habari za burudani alikutana na Jaguar baad aya kutoka Afrka kusini na kutaka kujuakama kuna collabo inakuja na Nicki Minaj?
Jaguar alisema “Ni msanii mbunifu na aiyeogopa kuthubutu, kuna kitu kila msanii anaweza kujifunza kutoka kwa msanii mwenzake na mambo kama hayandio husababisha collabo” Jaguar alisema hayo baada ya kutoka South Africa.
Jaguar na mwanamitindo kutoka Nairobi Pendo Small walihudhuria show hio.
0 comments:
Post a Comment