FUNDI UMEME AFARIKI LOS ANGELS BAADA YA KUANGUKA KUTOKA JUU YA GHOROFA

Fundi umeme amekufa baada ya kuanguka kutoka kwenye jengo la ghorofa 53 huko Los Angeles.

Polisi wamesema fundi huyo alianguka akifanyakazi katika jengo hilo la ghorofa lililokuwa katika ujenzi na kuangukia juu ya paa la gari eneo la Wilshire Boulevard.

Imeelezwa kuwa fundi huyo ambaye ni mwanaume alikuwa katika siku yake ya pili katika mradi huo wa ujenzi.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment