Stori za Siasa na uzito wake,
zinatufikia mpya kila siku na kila mpya inayonifikia na mimi
nakusogezea… hii imenifikia dakika chache zilizopita kutoka Bahari Beach Dar es Salaam, Ukumbi uleule ambao July 28 2015 Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza kujiunga CHADEMA, leo Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye naye ametangaza kujiunga na Umoja wa Vyama vya UKAWA.
Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005… kwenye nilichomnukuu wakati akitangaza uamuzi huo kuna hizi sentensi pia.
Mzee Sumaye ni
mmoja wa Makada wa CCM waliochukua Fomu kuwania kupitishwa kwenye
nafasi ya Urais CCM lakini hakufanikiwa kupita kwenye nafasi hiyo.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment