Mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na kusini kujaribu kuzuia makabaliano eneo la mpaka yamerejelewa tena.
Mazungumzo
hayo yalihairishwa baada ya kuendelea hadi Jumamosi usiku. Hakuna
taarifa zozote zilizoibuka kutoka kwa mazungumzo hayo.Lakini mwandishi wa BBC mjini Seoul anasema kuwa sababu kuwa mazungumzo hayo yalichukua saa nyingi, kuna matumaini kuwa hali iliyo sasa inaweza kutatuliwa.
Walikubaliana kafanya mazungumzo muda mfupi kabla ya muda wa mwisho uliokuwa umetangazwa na Korea Kaskazini wa kutaka matangazo ya propaganda kutoka Korea Kusini kuzimwa.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment