Ukisafiri kwa
basi kuna vitu vingi unaenjoy kuviona njiani, kama unatoka Dar kwenda
Iringa najua kwenye vitakavyokuvutia njiani iko pia mbunga ya Wanyama Mikumi…
utaona kingine ni milima, misitu.. vyote vinavutia kwenye safari yako,
kwenye ndege ni tofauti, safari ikianza ni ndege na anga, vitu vingine
utaviona wakati wa kupaa na kutua kwa ndege.
Sasa kuna hii
iliyonifikia, vimetajwa Viwanja vya Ndege ambavyo vina mvuto zaidi na
vinaonekana vizuri wakati ndege inapaa na wakati ndege inatua.
Kwenye orodha hiyo upo uwanja wa Queenstown Airport uliyopo New Zealand, uwanja wa McCarran Airport uliopo Las Vegas Marekani na uwanja wa Nice Cote D’Azur Airport uliopo Ufaransa. Africa je? Yes, kipo kimoja mtu wangu.
Hivyo kumi vyote viko hapa mtu wangu, unaweza kushuka huku unacheki kimoja baada ya kingine.
2. Las Vegas McCarran Airport, uliopo Marekani.
3. Nice Cote D’Azur Airport, uliopo Ufaransa.
4. Barra Airport, Scotland, Uiingereza, uwanja huu upo baharini mtu wangu… ndege zinapaa na kutua bila shida yani.
5. St. Maarten Airport (Princess Juliana International), uliopo Visiwa vya Caribbean.
6. Saba Airport (Juancho E Yrausquin), Caribbean Netherlands, uwanja huu upo pembezoni mwa mlima mtu wangu.
7. Billy Bishop Toronto City Airport, uliopo Canada.
8. Gibraltar Airport, ulipo Uiingereza.
9. London City Airport, upo Uiingereza pia na ni uwanja wa 2 wa ndege kuingia kwenye orodha hii.
10.
Cape Town Airport, uliopo South Africa, na ni uwanja pekee wa ndege
kutoka Africa kuingia kwenye orodha ya viwanja 10 bora vya ndege duniani
mwaka huu.
Unaambiwa uwanja namba 3 uliingia kwenye hii orodha mwaka 2014, uwanja namba 4 ulikuepo pia kwenye hii orodha mwaka 2013 na uwanja namba 5 ulikuwepo pia kwenye orodha ya viwanja vizuri zaidi duniani mwaka 2012 na hii ni mara ya pili kwa wao kuingia kwenye orodha hii.
P yhaa tv come soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment