Kuna msemo unasema ‘acha kazi uone kazi kupata kazi’..na kila mmoja anapaswa kuheshimu na kupenda kile anachofanya.
Lakini kuna hii list ambayo imetolewa kuhusu kazi ambazo ni hatari zaidi kufanya pengine kuliko nyingine duniani.

1. Wavuvi- Hii ni moja ya kazi hatari zaidi kutokana na mazingira ya wahusika

2. Wakata magogo pia wamekua kwenye hatari ya maisha yao kutokana na vifaa wanavyotumia kukata magogo hayo

3. Rubani

4. Wachimbaji madini-Wapo hatarini kutokana na mazingira ya kazi zao

Wachomelea vyuma-wengi wao hupata magonjwa ya macho kutokana na mwanga wanaotumia kufanyia kazi

Wafanyakazi wa machinjio-wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya kuambukiza

Bodyguards-Ni watu ambao wakati wowote wapo kwenye hatari ya kufa

Polisi nao wamekua katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na mazingira ya kazi zao

Wajenzi-Inabidi watumie akili nyingi katika kufanya kazi zao kutokana na kuweza kupata ajali wakati wowote wawapo kazini

Zimamoto

Wafugaji

Mafundi umeme-mazingira ya kazi zao mfano kukaa juu ya nguzo huleta wasiwasi mkubwa wa maisha yao kuwa hatarini

Wafagia barabara-Pia wafanyakazi wa barabarani wamekua kwenye wakati mgumu wa kugongwa na magari wanapokua kwenye kazi zao

Wapanda milima naohofia maisha yao ktokana na ugumu wanaoupata wakati wanapopanda milima
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
Share
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment