Ubalozi wa China nchini Kenya kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya China CRBC, inayojenga reli ya kisasa kutoka Mombasa kwenda Nairobi wameandaa sherehe maalum za kuadhimisha ushirikiano jadi baina ya Kenya na China katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa. Sherehe hizi zimefanyika jijini Nairobi maalum ili kutambua mafanikio yaliyopatikana kwenye ujenzi wa mradi huo.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment