Seneta wa Nairobi Mike Sonko
ameitaka mahakama kuishinikiza serikali ya Kenya kuondoa matuta
pamoja na dredi katika barabara kuu ya Thika.
Matuta hayo pamoja na dredi ambayo
Seneta huyo anataka yaondolewe kwenye barabara hiyo yameelezwa na
utafiti kuwa yanachangia kuongeza foleni barabarani.
Kupitia wakili wake Harrison
Kinyanjui, Seneta Sonko amemuomba Jaji wa Mahakama Kuu George Odunga
kutoa amri ya kuondolewa matuta kwenye barabara zilizonamagari mengi.

P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos


0 comments:
Post a Comment