Sauti Sol hawapo nyuma na headlines za Burudani, wamekuja na ‘Shake Yo Bam Bam’…(Video)

bambam


Wakati ‘Nerea’ inaendelea kufanya vyema kwenye headlines za burudani, kundi la Sauti Sol limerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia Video ya single yao mpya ‘Shake Yo Bam Bam’.


Video ya wimbo huo imefanyika katika jiji la Nairobi na Director  kutoka Nigeria Clerence Peters chini ya kampuni yao ya Sauti Sol Entertainment.


P yhaa tv come soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 

face book ipyana stephen



  Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment