Ukimzungumzia Cristiano Ronaldo ni kati ya wachezaji wanaopamba zaidi ligi ya Hispania kutokana na kiwango chake pia huwavutia wengi kwa uvaaji wake pia staili ya nywele zake.
Mbali ya Ronaldo pia Neymar Da Silva Santos amekua gumzo kwa mashabiki wake si tu kwa uwezo wake uwanjani bali katika suala zima la mavazi na staili ya nywele zake ambazo hutumia gharama kubwa kuzihudumia.
- Cristiano Ronaldo
- Neymar Dos Santos
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
|

0 comments:
Post a Comment