Rapa Abbas Kubaff wa Kenya Afunga ndoa ya pili.


Hip hop heavyweight kutoka Kenya ‘Abbas Kubaff’ amefunga ndoa na mpenzi wake aliyekutana naye October mwaka jana.
Abbas aliwahi kufumnga ndoa mnamo November 2008 na mwanamke aliyefahamika kama Baby Gangsta ila waliachana baada ya miezi kumi tu ndani ya ndoa.
Mke wa Abbas Kubaff ni muingereza na anaitwa Anna na wamefunga ndoa Kenya wakiwa pamoja na marafiki na familia tu.
abas abas2 abas3 abas4 abas5 
Source, Ghafla Kenya.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment